PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MASHABIKI WA YANGA WALIVYOJITOKEZA KATIKA UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  PICHA NA ELIFURAHA SAMBOTO AKYOO pichani ni baadhi ya wapenzi wa timu ya yanga  waliojitokeza kwa wingi katika uwanja wa sheikh amri abe...
 
PICHA NA ELIFURAHA SAMBOTO AKYOO
pichani ni baadhi ya wapenzi wa timu ya yanga  waliojitokeza kwa wingi katika uwanja wa sheikh amri abeid kushuhudia mtanange kati ya maafande wa JKT Oljoro ya Arusha na ya watoto wa jangwani Dar Youngs Africana ( YANGA) ambapo mpaka mtanange huo unamalizika Yanga waliibuka kidedea kwa kuitandika JKT Oljoro mabao 2 kwa 1

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top