PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: KITU KINACHOSADIKIWA KUWA NI BOMU CHALIPUKA KATIKA BAR MAARUFU JIJINI ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Habari tulizozipata hivi punde zinadai  kwamba mlipuko umetokea katika bar maarufu hapa jijini Arusha inayojulikana kwa jina la Arusha Ni...
 
Habari tulizozipata hivi punde zinadai  kwamba mlipuko umetokea katika bar maarufu hapa jijini Arusha inayojulikana kwa jina la Arusha Night Park iliyopo maeneo ya mianzini.
sababu za mlipuko huo bado haziajajulikana na juhudi za kupata taarifa kutoka kwa kamanda polisi mkoa wa Arusha BW. Liberatus Sabas zinaendelea ili kutoa taarifa kamili
Mlipuko huu ni wa tatu kutokea jijini Arusha wa kwanza ni ule uliotokea katika kanisa la Mt. joseph mfanyakazi Olasiti na kusababisha vifo vya watu watatu na majeruhi kadhaa na tukio la pili lilitokea katika mkutano wa chadema uliokuwa ukifanyika katika viwanja vya soweto hapa jijini Arusha ambapo pia ulisababisha vifo pamoja na majeruhi
PICHA na taarifa zaidi zitakujia muda sio mrefu.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top