Title: HABARI PICHA SEMINA ZA WABUNGE WA BUNGE LA KATIBA NA ALAT MJINI DODOMA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5
Des:
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ummy Mwalimu(kushoto), Mchungaji Peter Msigwa(wa pili kushot...
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Ummy Mwalimu(kushoto), Mchungaji Peter
Msigwa(wa pili kushoto) , Vincent Nyerere( wa pili kulia ) na Shamsa
Mwangunga(kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya
semina kuhusu Katiba mpya na Serikali za mitaa.Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Mustapha Akunaay akichangia maoni yake leo
mjini Dodoma katika mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa
Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Siti Abbas Ali akichangia maoni yake leo
mjini Dodoma katika mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa
Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.Meya
wa Jiji la Dar es salaam Dkt. Didas Massaburi (kulia) akisalimiana na
wajumbe wa Bunge la Katiba Profesa Mark Mwandosya (kushoto) na John
Shibuda(katikati) leo mjini Dodoma mara baada ya kumalizika kwa semina
ya wajumbe hao iliyoandaliwa na Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania
kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.Meya
wa Jiji la Dar es salaam Dkt. Didas Massaburi (katikati) akibadilishana
mawazo na Waziri wa Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa (TAMISEMI)
Hawa Ghasia (kulia) na Katibu Mkuu wa salimiana na Jumuiya ya Serikali
za Mitaa Tanzania Habraham Jacob Shamumoyo (kushoto) mara baada ya
semina ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kuhusu Katiba mpya na
Serikali za Mitaa.
Profesa Suleiman Ngware akitoa mada kuhusu Katiba na Serikali za Mitaa
leo mjini Dodoma wakati wa semina ya wajumbe wa Bunge la Katiba ya
kuwaelisha juu ya umuhimu wa kuiweka Serikali za Mitaa katika Katiba
mpya.Meya
wa Jiji la Dar es salaam Dkt. Didas Massaburi (kushoto) akibadilishana
mawazo na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mwenyekiti wa
Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba(kulia) leo mjini Dodoma
kabla ya semina ya wajumbe hao iliyoandaliwa na Jumuiya ya Serikali
za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.Meya
wa Jiji la Dar es salaaam Dkt. Didas Massaburi akitoa mada kuhusu
Katiba na Serikali za Mitaa leo mjini Dodoma wakati wa semina ya wajumbe
wa Bunge la Katiba ya kuwaelisha juu ya umuhimu wa kuiweka Serikali za
Mitaa katika Katiba mpya. Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Hawa
Ghasia akifungua semina ya siku moja leo mjini Dodoma ya wajumbe wa
Bunge Maalum la Katiba waliokuwa wakijadili ukuhusu Katiba mpya na
Serikali za Mitaa.aadhi wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwa katika semina leo mjini Dodoma kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Mark Mwandosya akichangia maoni yake
leo mjini Dodoma wa kuboresha mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za
Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Mark Mwandosya akitoa ufafanuzi kwa
wajumbe wenzake leo mjini Dodoma juu ya kuboresha mapendekezo ya
Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za
Mitaa.Mjumbe wa Bunge Maalum la
Katiba Moses Machali akichangia maoni yake leo mjini Dodoma wa kuboresha
mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba
mpya na Serikali za Mitaa. Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Esther Juma (kushoto)na James Mbatia (kulia)
wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya semina kuhusu
Katiba mpya na Serikali za mitaa. Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Shamin Khan akichangia maoni yake leo mjini
Dodoma wa kuboresha mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa
Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Post a Comment