PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: BALOZI SEIF ALI IDDI AKUTANA NA KAMATI KUU YA SENSA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Kamati  Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 inatarajia kuzindua  Chapisho la Tatu la Taarifa za msingi za Ki...













Akitoa shukrani zake kwa Wajumbe wa Kamati hiyo Mwenyekiti Mwenza wa Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliipongeza Sekreteri ya Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa kwa Kazi kubwa inayoendelea kuifanya tokea kumalizika kwa zoezi la Sensa ya watu na Makazi Nchini Tanzania.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top