wanavyowekea Urusi,wameamua kuongeza idadi ya Warusi wanaopaswa kuwekewa vikwazo kibinafsi.
Viongozi hao wa Jumuiya ya Ulaya pia wametoa wito kwa Tume inayosimamia jumuiya hiyo iwe tayari kuimarisha vikwazo zaidi vya kiuchumi dhidi ya Urusi iwapo hali hiyo ya sintofahamu itaendelea.
Kiongozi wa Ujerumani, Angela Merkel, amesema kuwa wale ambao majina yao yameongezwa kwa orodha ya hapo awali hawataruhusiwa kutembelea Ulaya na mali yao itapigwa tanji kama ilivyofanyika kwa maafisa 21 wa Urusi na Ukraine mapema juma hili.
Bi Merkel pia alisema kuwa Jumuiya ya Ulaya iko tayari kuunga mkono Serikali mpya ya Ukraine kifedha, bora tu iafikianena Hazina ya Fedha duniani (IMF). Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron amesema hatua muhimu zimechukuliwa kufikia sasa.

Post a Comment