Mjumbe maalumu Wa katibu mkuu Wa Umoja Wa mataifa katika kanda ya maziwa makuu Bi Mary Robinson, yuko ziarani mjini Goma , mkoani Kivu ya kaskazini Katika jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,
Ziara yake hio ni kutathmini hatua zilizopigwa kufikia sasa, kufuatia mkataba wa amani katika kanda ya maziwa makuu,uliosainiwa mjini Addis ababa mwaka jana.Mwandishi wetu John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka Beni. Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Post a Comment