PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Balozi Seif : Serikali haitokubali kuchezewa kwa amani iliopo
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi vifaa mbali mbali Mwenyekiti wa Maskan...



Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi vifaa mbali mbali Mwenyekiti wa Maskani ya Tupendane ya Kazole kwa ajili ya uendelezaji ujenzi wa Maskani hiyo iliyopo ndani ya Jimbo hilo

Kikundi cha utamaduni cha Jimbo la Kitope kikitoa Burdani kwenye sharehe za kukabidhi Vifaa vya ujenzi kwa ajili ya uendelezaji ujenzi wa Maskani ya Tupendane Kazole.




Mke wa Mbunge wa Kitope Mama Asha S uleiman Iddi akikabidhi mchango fedha Taslim kwa wawakilishi wa Vikundi vya Utamaduni na Maigizo vya jimbo hilo kwenye hafla ya makabidhiano ya vifaa vya ujenzi wa maskani ya Tupendane.



Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif akizungumza na wana maskani ya CCM Tupendane mara baada ya kukabidhi vifaa vya ujenzi wa maskani hiyo.Kushoto yake ni Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi na Kulia yake ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kaskazini “B” Ndugu Hilika Ibrahim.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top