PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE ASHINDA TUZO YA KIONGOZI WA AMANI NA USALAMA WA MWAKA 2023 YA JARIDA LA UONGOZI WA AFRIKA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akikabidhiwa tuzo yake na Waziri wa Mapato wa Jamhuri ya Ethiopia, Mama Aynalem Nigusie) na Mwenye...

 

Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akikabidhiwa tuzo yake na Waziri wa Mapato wa Jamhuri ya Ethiopia, Mama Aynalem Nigusie) na Mwenyekiti wa Jarida la Uongozi Afrika, Dk. Ken Giami kwenye hafla ya kila mwaka ya Tuzo za Watu Bora wa Mwaka za ALM katika Hoteli ya Ethiopian Skylight jijini  Addis Ababa, Ethiopia, usiku huu.

Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa Mwenyekiti wa Jarida la Uongozi Afrika, Dk. Ken Giami kwenye hafla ya kila mwaka ya Tuzo za Watu Bora wa Mwaka za ALM katika Hoteli ya Ethiopian Skylight jijini Addis Ababa, Ethiopia, usiku huu.


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top