PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: YANGA YAWAPAGAISHA MONASTIR YA TUNISIA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Sehemu ya kikosi Cha Yanga  Kiungo wa Yanga Sure Boy alipowasili hotelini Dubai usiku wa jana Wachezaji Aboutwalib Mshery na Dickson Job w...

 

Sehemu ya kikosi Cha Yanga 

Kiungo wa Yanga Sure Boy alipowasili hotelini Dubai usiku wa jana

Wachezaji Aboutwalib Mshery na Dickson Job wakifurahia jambo

Wachezaji wa kimataifa Toka DRC wakiwa tayari kwa safari

NA: Andrea Ngobole

Kikosi Cha timu ya soka ya Yanga kimewasili salama Dubai Jana Majira ya saa tano usiku Kisha kupumzika na Leo saa mbili za asubuhi kimeondoka kwenda Tunisia kujiandaa na mchezo wake wa kwanza wa hatua ya makundi ya KOMBE la shirikisho la CAF.

Yanga itacheza na timu ya Monastir ya Tunisia kwenye uwanja wa Olympic Rades Jumapili hii ya February 12 ukiwa ni mchezo wa kwanza wa kundi D linaloshirikisha timu za TP mazembe ya DRC na Real Bamako ya Mali.


Mchezo unaofuata Yanga watamenyana na TP mazembe jijini Dar es Salaam katika uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 19/02/2023


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top