PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MAYELE AWAAHIDI MAAHABIKI WA SOKA NCHINI WATAPAMBANA MPAKA MWISHO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Ikiwa tayari Club  ya  Yanga SC   imeshawasili nchini Tunisia kwajili ya kuanza mchezo wake wa kwanza wa hatua ya Makundi ya Kombe la Shir...

 

Ikiwa tayari Club ya Yanga SC  imeshawasili nchini Tunisia kwajili ya kuanza mchezo wake wa kwanza wa hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika US Monastir.

Leo Yanga SC walikutana na waandishi wa habari kuzungumza kuelekea katika mchezo wao dhidi ya US Monastir.

Akizungumza na waandishi wa habari Fiston Mayele alisema...’Sisi kama Wachezaji tumejiandaa vizuri na tunajua tunaenda kukutana na timu nzuri, tuko tayari na muhimu tupo hapa kupambana na tutapambana mpaka mwisho‘- Fiston Mayele

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top