Uwasilishaji wa mada ukiendelea |
NA : MWANDISHI WETU
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imeonyesha kwa vitendo nia yake ya kuinua wakulima wadogo wa makundi maalum nchini kwa kufanya mafunzo ya siku 3 kwa Kituo cha Wakulima Wafugaji Viziwi Tanzania (KIWAWAVITA) yaliyoandaliwa na TADB katika katika ukumbi wa Edema, mkoani Morogoro.
Mafunzo hayo yamelenga kuwajengea uwezo kwa nadharia na vitendo wakulima hao wa kituo hicho cha Wakulima na Wafugaji Viziwi Tanzania ili wainuke kiuchumi na kuongeza uzalishaji wa tija.
Mafunzo hayo yalijumuisha mada kama:
📖 Elimu ya Fedha na Biashara
🌾 Huduma zinazotolewa na TADB
👨🌾 Kilimo cha Mbogamboga
🥑 Kilimo cha Kisasa
Mafunzo hayo ni muendelezo wa mpango wa TADB katika kufikia wakulima wa makundi maalum ili kuwajengea uwezo wakulima wadogo nchini waweze kutoka katika kilimo cha kujikimu kwenda kwenye kilimo cha
Kazi katika makundi |
Usikivu makini |
Majadiliano KATIKA makundi |
Picha ya pamoja ya wadau |
Post a Comment