Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akiangalia mandhari ya
Pori la Akiba Maswa lililopo wilaya ya Meatu mkoani Simiyu wakati wa
ziara yake ya kukagua shughuli za uhifadhi mkoani humo jana. Kushoto ni Mkuu wa Kanda wa Kikosi Dhidi ya Ujangili (KDU) Kanda ya Serengeti, Johnson Msella.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akiangalia akioneshwa ramani ya Pori la Akiba Maswa na Meneja wa pori hilo, Lusajo Masinde (kushoto kwake) wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli za uhifadhi katika wilaya ya Meatu mkoani Simiyu jana.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akikagua moja ya eneo la "camp" ya kitalii katika Pori la Akiba Maswa wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli za uhifadhi katika wilaya ya Meatu mkoani Simiyu jana.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akikagua mandhari ya
Pori la Akiba Maswa lililopo wilaya ya Meatu mkoani Simiyu wakati wa
ziara yake ya kukagua shughuli za uhifadhi mkoani humo jana.
Muonekano
wa baadhi ya twiga katika Pori la Akiba Maswa wakati wa ziara ya Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla katika pori hilo jana.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akiangalia mandhari ya
Pori la Akiba Maswa lililopo wilaya ya Meatu mkoani Simiyu wakati wa
ziara yake ya kukagua shughuli za uhifadhi mkoani humo jana.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akiangalia mandhari ya
Pori la Akiba Maswa lililopo wilaya ya Meatu mkoani Simiyu wakati wa
ziara yake ya kukagua shughuli za uhifadhi mkoani humo jana.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla, viongozi wa Pori la
Akiba Maswa na Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori Makao wakiangalia
mandhari ya Pori la Akiba Maswa lililopo wilaya ya Meatu mkoani Simiyu
wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli za uhifadhi mkoani humo jana.
(PICHA ZOTE NA HAMZA TEMBA - WIZARA YA MALIASILI NA UTALII)
Post a Comment