PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: CHEKI HAPA SIMIYU FESTIVAL ILIVYOFANA NA KUWAUNGANISHA WATANZANIA MJINI BARIADI MAPEMA LEO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Naibu spika wa bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshumiwa Dr. Tulia Ackson akimvisha medal mshindi wa kwanza wa mbio za baisk...


Naibu spika wa bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshumiwa Dr. Tulia Ackson akimvisha medal mshindi wa kwanza wa mbio za baiskeli km mia moja mjini bariadi katika simiyu festival iliyoandaliwa na mkuu wa mkoa wa Simiyu mheshimiwa Mtaka mapema leo.







Mwakilishi wa Friedkin conservation Funf  (FCF) bwana  Nicholaus Negri akijadiliana jambo na Naibu Spika  Dr. Tulia Ackson juu ya masuala ya uwekezaji. Taasisi ya FCF imewekeza katkamapori ya akiba na hifadhi za jamii za wanyama pori katyika maeneo kadhaa nchini ikiwemo mkoa wa Simiyu.




Makampuni kadhaa yamedhamini festival hii ikiwemo MWIBA HOLDINGS na TGTS amabao walitoa helkopta iliyokuwa kivutio kikubwa katuka mashindano haya















About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top