PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: WAZIRI WA ELIMU,SAYANSI NA TEKNOLOJIA,AVUTIWA NA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako(wa pili kulia)akimsikiliza Kaimu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(A...


Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako(wa pili kulia)akimsikiliza Kaimu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),Dk Masudi Senzia juu ya miradi ya upanuzi wa Chuo hicho inayoendelea kazi ziara ya siku moja aliyoifanya Mei 9,2018


Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako(katikati)akiwa na watumishi wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC) akikagua moja ya Karakana ya Mitambo inayofanyiwa ukarabati.

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako(katikati)akiwa pamoja na Kaimu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),Dk Masudi Senzia(kulia) na Makamu Mkuu wa Chuo hicho,Dk Erick Mgaya katika ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya upanuzi wa Chuo hicho.

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako(kulia)akikagua moja ya makontena yenye vifaa mbalimbali kwaajili ya mafunzo kwa wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako(kushoto)akiangalia kiungo cha bomba kwenye Karakana ya wanafunzi wanaosoma kozi fupi kwaajili ya kuwa sehemu ya mafundi watakaojenga Bomba la Mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya Tanga.

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako(wa pili kulia)akimsikiliza Kaimu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),Dk Masudi Senzia katika ziara aliyoifanya kwenye Chuo hicho kukagua shughuli mbalimbali zinazoendelea.

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako akiwa katika moja ya Maabara ya Chuo hicho.



Wafanyakazi wa Chuo cha Ufundi Arusha wakimsikiliza Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top