
Ilipigwa na kombora aina ya BUK lililofyatuliwa kutoka eneo lililodhibitiwa na waasi nchini Ukraine. Urusi inasema hakuna silaha zake zilizotumika.
Kisa hicho kilitokea wakati wa mzozo kati ya serikali na waasia wanaoungwa mkono na Urusi.
October, 2015 kamati ya Uholanzi ilisema kuwa ndege hiyo iligongwa na kombora lililotengenezwa nchini Urusi la BUK.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.