PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: BREAKING NEWS: Elizabeth Michael ‘Lulu’ Ameachiwa Kutoka Gerezani
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Leo May 14, 2018 Taarifa iliyotufikia muda huu ni kumhusu Muigizaji wa filamu nchini, Elizabeth Michael marufu Lulu, amebadilishiwa a...



Leo May 14, 2018 Taarifa iliyotufikia muda huu ni kumhusu Muigizaji wa filamu nchini, Elizabeth Michael marufu Lulu, amebadilishiwa adhabu kwa amri ya Mahakama Kuu ya Tanzania na sasa atatumikia kifungo cha nje.

Lulu alihukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kuua bila kukusudia.

Hukumu ya kesi hiyo ilisomwa na Jaji wa Mahakama Kuu, Sam Rumanyika, ambaye baada ya kusikiliza utetezi kutoka kwa mawakili wa upande wa mshtakiwa alitoa hukumu.

Lulu, alishtakiwa kwa kesi ya kumuua bila kukusudia, aliyekuwa muigizaji maarufu wa filamu nchini na nje ya nchi, Steven Kanumba ambaye pia alikuwa mpenzi wake.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top