PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: RAISI MAGUFULI AMTEUA DR. MNDOLWA KUWA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI TPB
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Edmund Bernard Mndolwa kuwa Mwenyekiti wa Bod...

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Edmund Bernard Mndolwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB).


Uteuzi wa Dkt. Mndolwa umeanza leo tarehe 23 Aprili, 2018.





About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top