PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MAWAKILI WAJITOKEZA KWA WINGI KUPIGA KURA ZA URAISI WA TLS JIJINI ARUSHA LEO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Fatma Karume mgombea uraisi wa TLS     Tundu Lissu raisi wa TLS anayemaliza muda wake  Baadhi ya mawa...


Image result for mawakili wakiwa jijini Arusha kupiga kura
Fatma Karume mgombea uraisi wa TLS
 Tundu Lissu raisi wa TLS anayemaliza muda wake
Image result for mawakili wakiwa jijini Arusha kupiga kura
 Baadhi ya mawakili wakiwa katika mstari wa kupiga kura za uraisi wa TLS
 
Wanachama wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) wameanza kupiga kura jijini Arusha leo, Aprili 14, 2018 kuwachagua viongozi watakaoongoza kwa kipindi cha mwaka mmoja

Katika uchaguzi huo atapatikana mrithi wa rais wa chama hicho, Tundu Lissu anayemaliza muda wake.
Wagombea wa nafasi ya urais ni Fatma Karume, Godwin Ngwilimi, Godwin Mwapongo na Godfrey Wesonga
Rugemeleza Nshalla anagombea nafasi ya makamu wa rais, huku nafasi ya mhazini ikiwaniwa na Nicholas Duhia
Uchaguzi huo pia unahusisha wajumbe wa baraza la uongozi lenye wajumbe saba.
Licha ya eneo la kupigia kura kuwa la wazi lakini kila mgombea ameweka mawakala wanaosimamia haki zao
 

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top