PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Rais Magufuli Aagiza Kuendelezwa Kwa Ujenzi wa Msikiti Uliowekewa Pingamizi
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Rais John Magufuli ameagiza kuendelea kwa ujenzi wa msikiti wa ISTIQAAMA COMMUNITY katika Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa uliokuwa u...

Rais John Magufuli ameagiza kuendelea kwa ujenzi wa msikiti wa ISTIQAAMA COMMUNITY katika Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa uliokuwa umewekewa pingamizi la kujengwa kutokana na kukiukwa taratibu za ujenzi.

Akisoma agizo hilo la Rais Magufuli mbele ya viongozi wa Baraza la Waislamu Tanzania -BAKWATA, waumini na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa, Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Jochiam Wangabo amesema uamuzi huo umezingatia kujenga amani na utulivu katika jamii.


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top