PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Lori la Mafuta Lawaka Moto na Kuua Wawili Singida
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Taarifa kutoka mkoani Singida zinadai kuwa mchana huu ni kwamba lori la mafuta limeanguka na kuwaka moto katika eneo la Mli...


Ajali: Lori la Mafuta Lawaka Moto na Kuua Wawili Singida
Taarifa kutoka mkoani Singida zinadai kuwa mchana huu ni kwamba lori la mafuta limeanguka na kuwaka moto katika eneo la Mlima Sekenke na watu wawili wanaripotiwa kupoteza maisha.
 Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida Deborah Magiligimba  amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kueleza kuwa ni kweli kuna watu wawili wamefariki, lakini bado hawajapata majina yao.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top