mbunge
wa viti maalumu CCM Amina Mollel akiwa anacheza ngoma ya kimasai pamoja
na baadhi ya wamasai waliojitokeza katika sherehe za kupandisha ngazi ya rika kutoka katika rika la kurianga kuingia katika rika ya uzee (habari picha na woindeshizza blog )
mbunge akiwa na wananchi waliouthuria katika sherehe hizo
mbunge wa viti maalumu CCM Amina Mollel akiwa anasalimia na moja na mzee aliekuwa rrika la kurianga ambae kwa sasa ameingia katika rika la Nyangulo
Wazazi
hususa ni jamii ya kimasai wametakiwa kuachana na zana ya kuwatenga na
kutowapeleka shule watoto wa kike na wale ambao ni walemavu badala yake
wawapeleke mashuleni kwani wao ndio viongozi wa baadae
Post a Comment