Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu amefunguka na kuweka wazi kuwa
anajisikia furaha na amani kuona Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu
kuwa anaendelea vyema kadili siku zinavyokwenda lakini pia amegusia
sakata la Nyalandu kujitoa CCM.
Wema Sepetu ametumia mtandao wake wa Instagram baada ya kuweka picha ya
Tundu Lissu akiwa anakula chakula akiwa hospitali Nairobi na kusema
anajisikia vizuri kuona shujaa wao anaendelea vizuri.
"Ni jambo jema kumuona shujaa wetu anaendelea vyema kweli Mungu ni mwema
siku zote, lakini pia nikiwa mkubwa nitahitaji kuwa kama Lazaro
Nyalandu" aliandika Wema Sepetu
Wema Sepetu ameweka ujumbe huu masaa kadhaa toka Lazaro Nyalandu
alipotangaza kujivua uanachama wake ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)
na kuandika barua kujiuzulu nafasi yake ya Ubunge wa Singida Kaskazini
na kuomba kujiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
About Author

Advertisement

Related Posts
- MANYARA FC MABINGWA MICHUANO YA CHEMCHEM CUP 2018 NA KUJINYAKULIA MILION 1.715 Oct 20180
Mgeni rasmi akikabidhi zawadi wa jezi kwa mabingwa wa chemchem cup 2018 timu ya Manyara fc ...Read more »
- FARU WA HIFADHI YA SERENGETI KULINDWA KWA GHARAMA YA SHILINGI BILIONI 2.511 Sep 20180
Mwandishi wetu,Arusha. Vita dhidi ya ujangili wa Fa...Read more »
- CHEKI HAPA SIMIYU FESTIVAL ILIVYOFANA NA KUWAUNGANISHA WATANZANIA MJINI BARIADI MAPEMA LEO08 Jul 20180
Naibu spika wa bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshumiwa Dr. Tulia Ackson akimvisha ...Read more »
- Siri Gari Mpya ya Diamond Yafichuka01 Jun 20180
DAR ES SALAAM: Lile gari jipya la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ai...Read more »
- Mama Wema Sepetu Asema Mtoto Wake Yupo India Kwa Matibabu30 May 20180
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kuendelea na kesi inayomkabili staa w...Read more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.