Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu amefunguka na kuweka wazi kuwa anajisikia furaha na amani kuona Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu kuwa anaendelea vyema kadili siku zinavyokwenda lakini pi…
Rais Magufuli Aeleza Sababu za Kutokugawa Milion 50 Alizoahidi Kwa Kila Kijiji
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, ameeleza sababu zinazomfanya achelewe kutimiza ahadi ya milioni 50 kwa kila kijiji alizoziajidi wakati wa kampeni za kugomb…
Gharama za Kumtunza Faru Fausta Kupunguzwa
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), imeanza kulima majani aina ya lusini ambayo ni chakula cha Faru Fausta ili kupunguza gharama za kumtunza mnyama huyo. Faru Fausta mwenye miaka 54 anahifadhi…
ZITTO KABWE AWATAKA WANANCHI KUTOICHAGUA CCM KATIKA UCHAGUZI WA MADIWANI KATA 43
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amezindua kampeni za chama hicho za uchaguzi mdogo wa udiwani akiahidi iwapo kitachaguliwa kitaondoa hali ngumu ya uchumi na ukiukwaji wa haki. Zitt…
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya Octoba 27
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
NA HIZI NDIYO Sababu Zilizowafanya Wazee wa Baraza Wamtie Hatiani Lulu Michael
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Wazee wa baraza wameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuwa mwigizaji wa filamu nchini, Elizabeth Michael maarufu Lulu amehusika kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven Kanumba. Wakit…
Mwakyembe Amteua Alberto Msando kuwa Mjumbe wa kamati ya kupitia sheria ya Hakimiliki.
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Waziri wa Habari Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe amemchagua Mwanasheria na mdau wa masuala ya Sanaa Alberto Msando kuwa Mjumbe wa kamati ya kupitia sheria ya Hakimiliki. Katika …
HABARI PICHA NDEGE ILIYOANGUKA LOBO AIRSTRIP NDANI YA HIFADHI YA SERENGETI NA KUJERUHI WATU WATATU
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Ajali ya ndege iliyotokea katika uwanja wa ndege wa lobo uliopo ndani ya hifadhi ya serengeti ambapo inasemekana kulikuwa na mvua na visibolity haikuwa nzuri. wakati rubani anajaribu kutua akajik…
USAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA WASHIKA KASI MKOA WA ARUSHA, WAANDISHI KUTOKA VYOMBO VYA HABARI WATEMBELEA VITUO VYA USAJILI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano (NIDA) Bi. Rose Joseph (mwenye miwani) akizungumza na baadhi ya waandishi wa Vyombo vya Habari vya Televisheni na Magazeti walipotembelea ki…
MISA YA KUMUAGA ASKOFU MKUU WA JIMBO LA TUNDURU-MASASI MAREHEMU CASTOR PAUL MSEMWA YAFANYIKA KATIKA KANISA KATOLIKI LA BARAZA LA MAASKOFU JIJINI DAR ES SALAAM
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo akiaga mwili wa Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa mara baada ya Misa il…