Mkurugenzi
wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson (wa tatu kushoto) akiwa na
baadhi ya viongozi wakicheza pamoja na wasanii wa kikundi cha Ngoma cha
Wasonjo kutoka Ngorongoro, wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances
Festival 2017, lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya
Rungwe mkoani Mbeya, jana Sep 22, 2017. Picha na Muhidin Sufiani
Wasanii
wa Kikundi cha Ngoma cha Masebe Rungwe, wakicheza jukwaani wakati wa
Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye
Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, jana Sep 22,
2017. Picha na Muhidin Sufiani
Wasanii
wa Kikundi cha Ngoma cha Keifo Kyela, wakishambulia jukwaa wakati wa
Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye
Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, jana Sep 22,
2017. Picha na Muhidin Sufiani
Wasanii
wa Kikundi cha Ngoma cha Kanengwa, wakishambulia jukwaa wakati wa
Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye
Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, jana Sep 22,
2017. Picha na Muhidin Sufiani
Wasanii
wa Kikundi cha Ngoma cha Lipango Mbozi Mkoa wa Songwe, wakishambulia
jukwaa wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017,
lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani
Mbeya, jana Sep 22, 2017. Picha na Muhidin Sufiani
Majaji
wa shindano la ngoma Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017,
wakifuatilia burudani zilizokuwa zikiendelea jukwaani wakati wa Tamasha
hilo kwenye Uwanja wa Tandale, Tukuyu. Picha na Muhidin Sufiani
Wasanii
wa Kikundi cha Ngoma cha Lipango Mbozi Mkoa wa Songwe, wakishambulia
jukwaa wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017,
lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani
Mbeya, jana Sep 22, 2017. Picha na Muhidin Sufiani
Wasanii
wa kundi la kughani mashahiri ya Asili, Mwandurusa kutoka Kyela,
wakighani mashahiri yao jukwaani wakati wa Tamasha hilo. Picha na
Muhidin Sufiani
Mkurugenzi
wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson (wa tatu kulia) akiwaongoza
baadhi ya viongozi na wadau kucheza Kwaito jukwaani wakati wa Tamasha
hilo. Picha na Muhidin Sufiani
Mwanadada
maarufu wa kuchezea mpira,Hadhara Charles, akionyesha umahiri wake
jukwaani wakati wa Tamasha hilo. Picha na Muhidin Sufiani
Mkurugenzi
wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akimtunza fedha mwanadada,
Hadhara Charles, maarufu wa kuchezea mpira,baada ya kuonyesha umahiri
wake jukwaani katika Tamasha hilo. Picha na Muhidin Sufiani
Wasanii
wa Kikundi cha Ngoma cha Wasonjo kutoka Ngorongoro, wakicheza ngoma yao
ya asili wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017,
lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani
Mbeya, jana Sep 22, 2017. Picha na Muhidin Sufiani
Waratibu
wakimsindikiza msanii wa filamu nchini Senga, wakati akiwasili uwanjani
hapo na ‘kuchafua hali ya hewa’ baada ya kuanza kufuatwa na wananchi
kila alikopita kiasi cha kumzuia njia asipite kuingia eneo maalumu
waliloandaliwa wasanii wenzake. Picha na Muhidin Sufiani
Post a Comment