PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI PICHA-KAMANDA WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI MKOA WA ARUSHA AKIONGEA NA WAANDISHI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Arusha     Kennedy Komba akitoa ufafanuzi juu ya zoezi la ukaguzi wa majengo na vyombo vya...
Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Arusha   Kennedy Komba akitoa ufafanuzi juu ya zoezi la ukaguzi wa majengo na vyombo vya usafiri vyenye miundombinu na vifaa vya kujikinga na kukabiliana na majanga ya moto.Picha na Ferdinand Shayo

Mkaguzi Mkuu wa Mkoa wa Arusha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Faustin Mtitu Akifafanua juu ya utendaji kazi wa magari ya zima moto ,ambapo magari hayo hubeba kiasi cha lita 5000 za maji kwa kila gari. Picha na Ferdinand Shayo

About Author

Advertisement

Post a Comment

Top