
Rais John Magufuli akimkabidhi zawadi Mfanyakazi Bora wa Bohari ya Dawa (MSD), 2016/2017, Juma Kiongozi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi yaliyofanyika kitaifa mkoani Kilimanjaro leo. Kulia ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na kushoto ni Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama.
![]() |
Maandamano kuelekea jukwaa kuu alipo mgeni rasmi Rais John Magufuli. |
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.