BAJETI YA SERIKALI 2017-2018 HAITEKELEZEKI NA HAINA MSAADA KWA WANANCHI - FREEMAN MBOWE
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema wataipinga bungeni bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha wa 2017/18 kwani haina msaada wowote kwa wananchi wa hali ya chini na wanaamini fedha hizo hazit…