PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: WITO KWA WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA MGODI WA DHAHABU BULYANHULU WALIOPIMWA AFYA KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
WITO KWA WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA ULIOKUWA MGODI WA DHAHABU BULYANHULU UPIMAJI ULIOFANYIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI
WITO KWA WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA ULIOKUWA MGODI WA DHAHABU BULYANHULU

UPIMAJI ULIOFANYIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI
Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) unawakaribisha walioorodheshwa hapo chini kufika katika ofisi za OSHA zilizopo Kinondoni Manyanya karibu na mahakama kati ya tarehe 26 na 27 Januari ili waweze kupewa majibu yao. Tangazo hili linawahusu waliopimwa Muhimbili tu. Waliopimwa Bugando wanaombwa kusubiri tangazo jingine



Imetolewa na:
MTENDAJI MKUU
WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI (OSHA)
S.L.P 519, MAHAKAMA ROAD KINONDONI
DAR ES SALAAM.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top