Mwanamuziki wa Injili nchini, Flora Mbasha amesema kuwa watu wamuache na
maisha yao kati yake na Mbasha kwani mapenzi ni kitu binafsi kati ya
watu wawili na anaishi kama anavyotaka na sio kama watu wanavyotaka
aishi
Amedai kuna watu wanajifanya wanamjua maisha yake kuliko yeye na kumbe
sivyo, pia kwa sasa anataka afahamike kama Madam Flora na sio Flora
Mbasha kwa kuwa kuna talaka ipo kwenye process
Post a Comment