PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Chuchu wa Ray Ajifungua Mtoto wa Kiume
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  STAA wa filamu Bongo, Chuchu Hans, hatimaye amejifungua mtoto wa kiume katika Hosptali ya Taifa ya Muhimbili,  akiwa mwanamk...


STAA wa filamu Bongo, Chuchu Hans, hatimaye amejifungua mtoto wa kiume katika Hosptali ya Taifa ya Muhimbili,  akiwa mwanamke wa kwanza kumpatia muigizaji mkubwa kiume  Vincent Kigosi ‘Ray’, mtoto.


Akizungumza Mtanda huu ndugu wa karibu na mastaa hao alithibitisha kujifungua kwa Chuchu na kusema kuwa ujio wa mtoto huyo ambaye wamempa jina la kwanza la Vincent Junior, kuwa ameleta furaha kubwa kwa  Ray.

“Yaani Ray, alikuwa Zanzibar kwa ajili ya kungalia mpira lakini alipopata habari hiyo alionekana mwenye furaha sana huku baadhi ya mastaa wenzake wakimpongeza,” alisema ndugu  huyo

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top