Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili
katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini Zanzibar
leo jioni akitokea kisiwani Pemba ambako aliweka shada la maua kwenye
kaburi la aliyekuwa Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Hayati Dkt Omar Ali Juma, na kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja
wa Gombani ya Kale.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akitelemka kutoka kwenye ndege ya ATCL katika Uwanja wa Ndege wa
kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini Zanzibar leo jioni akitokea
kisiwani Pemba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akivishwa shada la maua ya asumini baada ya kutelemka kutoka kwenye
ndege ya ATCL katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume
mjini Zanzibar leo jioni akitokea kisiwani Pemba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akilakiwa na makamanda wa vikosi vya ulinzi na usalama katika Uwanja wa
Ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini Zanzibar leo jioni
akitokea kisiwani Pemba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini Zanzibar leo jioni akitokea kisiwani Pemba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Waziri wa Ujenzi, Mawasilaino na usafirishaji wa Zanzibar Balozi Ali Abeid Karume katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini Zanzibar leo jioni akitokea kisiwani Pemba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Hamad Yussuf Masauni katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini Zanzibar leo jioni akitokea kisiwani Pemba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Mwakilishi wa jimbo la Uzini Mhe. Mohamed Raza Hassanali katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini Zanzibar leo jioni akitokea kisiwani Pemba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Waziri wa Afya Mhe. Mahmoud Thabit Kombokatika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini Zanzibar leo jioni akitokea kisiwani Pemba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mohamed Seif Khatib katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini Zanzibar leo jioni akitokea kisiwani Pemba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Mratabu wa Diaspora,Ofisi ya Rais Ikulu na Ushirikiano wa Kimataifa Zanzibar Ndugu Hassan Hafidh katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini Zanzibar leo jioni akitokea kisiwani Pemba
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na
mmoja wa makada waandamizi wa CCM katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa
wa Abeid Amani Karume mjini Zanzibar leo jioni akitokea kisiwani Pemba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini Zanzibar leo jioni akitokea kisiwani Pemba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini Zanzibar leo jioni akitokea kisiwani Pemba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na mmoja wa viongozi katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini Zanzibar leo jioni akitokea kisiwani Pemba
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiakisalimiana na mmoja wa viongozi katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa
wa Abeid Amani Karume mjini Zanzibar leo jioni akitokea kisiwani Pemba
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na
mmoja wa wazee mashiuhuri katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Abeid
Amani Karume mjini Zanzibar leo jioni akitokea kisiwani Pemba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini Zanzibar leo jioni akitokea kisiwani Pemba
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifurahia
ngoma ya utamaduni ya Kilua katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Abeid
Amani Karume mjini Zanzibar leo jioni akitokea kisiwani Pemba
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiangalia
ngoma ya Msewe baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa
Abeid Amani Karume mjini Zanzibar leo jioni akitokea kisiwani Pemba.
Picha na IKULU
Post a Comment