Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli na viongozi
wenzie wakisimama wakati wimbo wa Jumuiya ukipigwa wakati wa ufunguzi
wa Mkutano wa 17 wa Dharula wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki
katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 8,
2016
Sehemu
ya waliohudhuria wakiwa wamesimama wakati wimbo wa Jumuiya ukipigwa
wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 17 wa Dharula wa Nchi za Jumuiya ya
Afrika Mashariki katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
leo Septemba 8, 2016
Ujumbe wa Burundi
Sehemu ya mabalozi wa nchi mbalimbali wakiwa mkutanoni hapo
Wageni kutoka nchi wanachama
Mabalozi wa nchi mbalimbali wakiwa mkutanoni hapo
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongoza
mkutano. Anafuatiwa na Rais Paul Kagame wa Rwanda, Mwakilishi maalum wa
Rais wa Sudan ya Kusini Mhe Aggrey Tisa Sabuni, Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Liberat Mfumukeko
Waziri
Mkuu Mstafu Jaji Joseph Sinde Warioba (kati) na Katibu Mkuu Mstaafu wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Juma Mwapachu (kushoto) wakiwa na
viongozi wastaafu wa Jumuiya
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongoza
mkutano. Kushoto kwake ni Rais Paul Kagame wa Rwanda, Mwakilishi wa
Rais wa Sudan ya Kusini Mhe Aggrey Tisa Sabuni, Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein. Kulia kwake ni
Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda, Naibu Rais wa Kenya Mhe William
Rutto na mwakilishi wa Rais wa Burundi na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi
hiyo Balozi Alain Aime Nyamitwe
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongoza mkutano akiwa na Rais Paul Kagame wa Rwanda na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Liberat Mfumukeko
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akihutubia mkutano huo
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akiendelea na hotuba yake
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.