Ripoti kutoka mitandaoni zinasema kuwa Muheshimiwa Mbunge Sugu
Amemzawadia Gari aiana ya Toyota Lexus kama zawadi ya siku ya kuzaliwa
kwa mpenzi wake ajulikanae kama Happiness, Sugu na mpenzi wake huyo mpya
wamekuwa gumzo mitandaoni hasa baada ya aliyekuwa mpenzi wa Sugu wa
zamani Faiza Ally kusema bado anampenda Sugu....Wadau wengi tunasubiri
kuona Faiza atasema nini kuhusu hilo kwani amekuwa sio mvumilivu wa
kukaa kimya kinapokuja suala la Sugu
Hizi Hapa ni Baadhi ya Comments kutoka kwa wadau mitandaoni:
mrs_j6316 @mwakobadoris :njoo umuone Mrs sugu au first lady was Mbeya yetu mpaka raha wallah afu ametulia hadi uso
full_mikuki :Maskini bahati hizi wengine acha tuzae tu
fine_mushy: Tenaaaaaa sio Harrier bubu Maana Kuna Harrier Kma Harrier mamaeeeee kitu LEXUS hiooooo
official_chagga_girl: Kuna watu wanakufaa ukoo,haaa haaa @tit4tati
Home
»
BURUDANI
» Mh Mbunge Sugu Amnunulia Mpenzi Wake Gari Mpya Aina ya Lexus..Yazua Gumzo Mtandaoni
About Author

Advertisement

Related Posts
- MANYARA FC MABINGWA MICHUANO YA CHEMCHEM CUP 2018 NA KUJINYAKULIA MILION 1.715 Oct 20180
Mgeni rasmi akikabidhi zawadi wa jezi kwa mabingwa wa chemchem cup 2018 timu ya Manyara fc ...Read more »
- FARU WA HIFADHI YA SERENGETI KULINDWA KWA GHARAMA YA SHILINGI BILIONI 2.511 Sep 20180
Mwandishi wetu,Arusha. Vita dhidi ya ujangili wa Fa...Read more »
- CHEKI HAPA SIMIYU FESTIVAL ILIVYOFANA NA KUWAUNGANISHA WATANZANIA MJINI BARIADI MAPEMA LEO08 Jul 20180
Naibu spika wa bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshumiwa Dr. Tulia Ackson akimvisha ...Read more »
- Siri Gari Mpya ya Diamond Yafichuka01 Jun 20180
DAR ES SALAAM: Lile gari jipya la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ai...Read more »
- Mama Wema Sepetu Asema Mtoto Wake Yupo India Kwa Matibabu30 May 20180
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kuendelea na kesi inayomkabili staa w...Read more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.