PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Masoud Kipanya Arejea Clouds FM Ataanza Kusikia Jumatano hii
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mtangazaji Masoud Kipanya Jumatano hii April 27 2016 atasikika tena kama mfanya kazi wa CloudsFM atasikika kwa mara nyingine tena Masoud ...
Mtangazaji Masoud Kipanya Jumatano hii April 27 2016 atasikika tena kama mfanya kazi wa CloudsFM atasikika kwa mara nyingine tena Masoud ambaye alipata umaarufu sana kupitia vipindi mbalimbali vya CloudsFM toka kitambo hicho.

CMG (Clouds Media Group) wamethibitisha hilo kupitia page ya Instagram kwamba Mtangazaji Masoud Kipanya anarejea kufanya kazi na atasikika kwenye show ileile ya POWER BREAKFAST akiungana na Barbara Hassan na Fredwaa ikiwa ni baada ya Gerald Hando na PJ kumaliza mkataba wao na CMG

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top