PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Katibu Mkuu MSOMI WA CHADEMA, Dr. Vincent Mashinji aripoti rasmi ofisini Kwake
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
   Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), DR.Vincent Mashinji jana ameripoti rasmi kwenye ofisi yake ...


  

Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), DR.Vincent Mashinji jana ameripoti rasmi kwenye ofisi yake mpya jijini Dar es Salaam na kupokelewa na viongozi mbalimbali waandamizi wa chama hicho akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar, Salumu Mwalimu.
 
INADAIWA kuwa yeye ndiyo katibu mkuu msomi zidi zaidi wa chama cha siasa duniani kwa sasa swali kuu la kujiuliza ni je atawezankumpiku mtangulizi wake dokta SLAA?? Katika utendaji na kukuza chama mpaka grassroots its just a matter of time lets wait and see.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top