PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MATUKIO ZAIDI RAIS WA VIETINAM ALIPOTUA NCHINI USIKU WA KUMAKIA LEO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
    Rais wa Vietinam , Trung Tan Sang na Mkewe Mai Thi Hahn wakiteremka kwenye  ndege  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege...


vi1
  Rais wa Vietinam , Trung Tan Sang na Mkewe Mai Thi Hahn wakiteremka kwenye  ndege  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dar es salam kwa ziara ya siku tatu nchini.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
vi3
Rais wa Vietinam , Trung Tan Sang na Mkewe Mai Thi Hahn wakipunga baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dar es salam kwa ziara ya siku tatu nchini, Machi8, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
vi2
Rais wa Vietinam , Trung Tan Sang, Mkewe Mai Thi Hahn  na  Mkuu, Kassim Majaliwa wakitazama ngoma baada ya Rais huyo   kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dar es salam kwa ziara ya siku tatu nchini, Machi8, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top