PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI PICHA: NAIBU WAZIRI MHE.POSSI KATIKA ZIARA YA KUTEMBELEA SHULE NA VITUO VYA WATU WENYE ULEMAVU MKOANI MANYARA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akizungumza na wanafunzi na uongozi wa shule ya msingi Ka...
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akizungumza na wanafunzi na uongozi wa shule ya msingi Katesh “A” na “B” (hawapo pichani) wakati alipofanya ziara shuleni hapo ili kuona hali ilivyo katika kitengo cha watoto wenye mahitaji maalum, Machi 2, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akisalimiana na watoto wenye ualbino wanaolelewa na kituo cha 4 Angle Disabled Children kilichopo Wilaya ya Haydom Mkoani Manyara wakati wa ziara yake ya kutembelea vituo, shule na vyuo vya watu wenye ulemavu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi (wa pili kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na watoto wanaolelewa na Kituo cha kulelea watoto wenye Ualbino cha 4 Angle Disabled Children kilichopo Wilaya ya Haydom Mkoani Manyara wakati wa ziara yake kituoni hapo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top