Mwenyekiti
wa CCM, Rais mstaafu Jakaya Kikwete akilakiwa na Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana alipowasili mjini Singida jioni leo, kwa ajili ya
maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM yatakayofanyika kesho kutwa
mjini Singida.
Mwenyekiti
wa CCM, Rais mstaafu Jakaya Kikwete salimiana na wananchi alipowasili
mjini Singida jioni leo, kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 39 ya
kuzaliwa kwa CCM yatakayofanyika kesho kutwa mjini Singida.

Akina mama wakicheza ngoma mbele ya Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete (kushoto).
Kikwete akiwapungia mkono wananchi
Mwenyekiti
wa CCM, Rais mstaafu Jakaya Kikwete akijadiliana jambo na Katibu Mkuu
wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Singida,
Parseko Kone. Kulia ni Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye.
Kikwete akiwa na Nape, Kone na Kinana baada ya kuwasili
Mwenyekiti
wa CCM, Rais mstaafu Jakaya Kikwete akijadiliana jambo na Katibu Mkuu
wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Singida,
Said Amanzi.
Mke wa Rais, Salma Kikwete akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Singida, Said Amanzi
Katibu
Mkuu wa CCM, Komredi Kinana akijadiliana jambo na Katibu wa Itikadi na
Uenezi wa CCM, Nape Nnauye baada ya kumlaki Mwenyekiti wa chama hicho,
Jakaya Kikwete mjini Singida.
Post a Comment