PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HALI YA KUTISHA ENEO LA MKWAJUNI JIJINI DSM BAADA YA WATU KUCHOMA MATAIRI KATIKA BARABARA NA KUSABABISHA KERO KUBWA KWA WAKAZI HAO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
 imeelezwa kuwa hali si shwari hivi sasa katika eneo la bonde la mkwajuni kinondoni  jijini daresalam kufuatia akazi wa maeneo hayo kuchom...
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjUwKYqDh6ewm1x3ptPfID0a65I8JcjE1MyyEwrrMlgZPI68ZVMGSrnJ0KR_7ZTsDI1YFG2hnGmhnzXdMP3YxaP0Yk0FsYYb5K-s2JWN75MrPWrWvaIEPL_qyHFDfdpl4UuE29cUf98lPK2/s1600/IMG-20160118-WA0008.jpg
 imeelezwa kuwa hali si shwari hivi sasa katika eneo la bonde la mkwajuni kinondoni  jijini daresalam kufuatia akazi wa maeneo hayo kuchoma matairi moto pande zote za barabara na kusababisha magari kushindwa  kupita. jeshi la polisi kinondoni wapo eneo la tukio hivi sasa kukabiliana na hali hiyo ili kurejesha usalama wa eneo husika kwa taarifa zaidi tutaendelea kukujuzeni nini kinachoendelea eneo la tukio
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEirZP2FmEqlhSxMG1Dj16G_IRq28FHCBVvsPn9YE7OtMlfL-n3H1SE_EUH31v5B9qPj0VfqOpeA6RzKDeKS4Gh54g4_W01rgdZcWsFHyC3UHrLL67vRZEER6_rapyiA__75IU3n2EtK7_j7/s1600/IMG-20160118-WA0006.jpg
 wakazi wa eneo husikia wakishuhudia uharibifu huo uliofanywa na wananchi wa eneo hilo la bonde la mkwajuni kinondoni jijini Daresalaam hivi sasa

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top