Mrembo na mwigizaji wa filamu za bongo amefunguka kwa mara
ya kwanza kuhusu Johari aliyekuwa mpenzi wa Ray kabla yake na kujibu
kuhusu uvumi uliyokuwa kwenye mitandao kuwa wana beef kubwa
Chuchu Hans amedai kuwa yeye hakuwahi kuwa na ugomvi na
Johari bali ni ulikuzwa tu na mitandao amedai yeye anachojua ni kuwa
Johari na Ray ni Business Partner hivyo hawezi kuwaingilia katika kazi
na anauheshimu uhusiano huo...
Pia ameongeza kuwa Ray anapenda sana watoto hivyo anawalea watoto wake wawili aliopata kwa bwana mwingine kama watoto wake
Post a Comment