PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: OFISI YA WAZIRI MKUU: Yaendesha Mafunzo ya upokeaji na matumizi ya Taarifa za Taadhari ya Awali-Wilaya ya Arumeru
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Diwani wa Kata ya Nkwarisambu Wilayani Arumeru Mhe. Jeremiah Massawe akifungua mafunzo ya Uimarishaji wa Taarifa za hali ya hewa na Mifu...
Diwani wa Kata ya Nkwarisambu Wilayani Arumeru Mhe. Jeremiah Massawe akifungua mafunzo ya Uimarishaji wa Taarifa za hali ya hewa na Mifumo ya taadhari yaliyoratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Idara ya Uratibu wa Maafa katika Ukumbi wa shule ya sekondari ya Nkwarisambu tarehe 21 Desemba, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Charles Msangi akifafanua jambo kuhusu umuhimu wa ufuatiliaji wa taarifa za hali ya hewa katika kukabiliana na maafa wakati wa mafunzo ya upokeaji na matumizi ya Taarifa za Taadhari ya Awali katika Kata ya Nkwarisambu Wilayani Arumeru mkoa wa Arusha, Desemba 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Fundi Sanifu Mkuu wa Bodi ya Maji Bonde la Pangani Bw. Jeroboam Z. Riwa akielezea juu ya umuhimu wa utunzaji wa vyanzo vya maji wakati wa mafunzo ya matumizi ya taarifa za hali ya hewa katika kukabiliana na maafa yalioratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Idara ya Uratibu wa Maafa katika Kata ya Nkwarisambu Wilayani Arumeru mkoani Arusha Desemba 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top