PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Afande Sele Apasua Jibu...Wanaoenda Kushoot South Wana Boashara za Siri....
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Afande Sele amedai kuwa anawashangaa wasanii wanaoenda kushoot video zao nje ya nchi wakati Tanzania ina kila kitu. Rapa huyo mkon...


Afande Sele amedai kuwa anawashangaa wasanii wanaoenda kushoot video zao nje ya nchi wakati Tanzania ina kila kitu.

Rapa huyo mkongwe aliyekuwa kimya kutokana na shughuli za kampeni, ameiambia Bongo5 kuwa anaamini wasanii wanaosafiri kwaajili ya kushoot video nje, wana bishara zao za siri.


Kwenye kushoot video nje ni ulimbukeni,” amesema.

Tanzania tuna kila kitu kuliko hata huko wanakoenda. Mimi hii naitafsiri ni usaliti wa nchi, sisi tunakosa nini hapa nyumbani? Tuna milima, mbuga, maporomoko mazuri, yaani tuna kila kitu. Unajua wasanii wengi walikuwa wanatumia mwanya wa kwenda kushoot video nje ili kufanya biashara zao za siri. Wengi wameutumia sana huu mwanya, sasa Magufuli alivyoingia atawanyoosha tu,” amesisitiza Afande.

Katika hatua nyingine Afande Sele amesema anajipanga kuachia nyimbo mpya mbili ili kufidia ukimya mkubwa aliouacha kwa mashabiki wake.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top