PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: BREAKING NEWS: Mchungaji Christopher Mtikila wa DP amefariki Kwa ajali ya gari asubuhi hii
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mwanasiasa mkongwe na Mwenyekiti wa chama cha kisiasa cha  DP Christopher Mtikila amefariki dunia alfajiri ya leo wakati ak...


Mwanasiasa mkongwe na Mwenyekiti wa chama cha kisiasa cha  DP Christopher Mtikila amefariki dunia alfajiri ya leo wakati akitokea Morogoro kuelekea Dar es salaam.
IMG-20151004-WA0009
Taarifa zilizotufikia kupitia kwa kamanda wa Polisi Pwani Jafari Mohamed amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na alifarika saa 12 kasorobo katika kijiji cha Msolwa, Chalinze akiwa kwenye gari ndogo huku wenzake watatu wakijeruhiwa vibaya.
IMG-20151004-WA0006
Gari aliyopata nayo ajali Mch.Christopher Mtikila
mtikila 2
Mtikila alitangaza kugombea Urais kupitia chama chake cha DP lakini chama chake ni moja ya vyama ambavyo vilikatwa kutokana na kutotimiza masharti ya NEC

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top