PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MSAFARA WA JAMES MBATIA WAISIMAISHA VUNJO: MABADILIKO YA KWELI WAYATAKA WANA VUNJO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Msafara wa Pikipiki ukimsindikiza mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo kupitia chama cha NCCR-Mageuzi na UKAWA ,James Mbatia wakati wa kwe...
Msafara wa Pikipiki ukimsindikiza mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo kupitia chama cha NCCR-Mageuzi na UKAWA ,James Mbatia wakati wa kwenda kufanya uzinduzi wa Kampeni katika jimbo jilo.
Msululu wa magari ukimsindikiza mgombea huyo.
Maeneo mbalimbali aliyopita mgombea huyo alipokelewa na makundi mbalimbali ya watu waliokuwa wamesimama kando ya barabara wengi wao wakiwa ni kina mama.


Katika maeneo mengine wananchi walisimamisha msafara wake na kusalimia kwa muda kabla ya kuendelea na safari.
Shughuli zilisimama kwa muda katika maeneo mbalimbali angalau kutoa nafasi japo kupunga mkono kwa mgombea huyo.
Msafara ukielekea uwanja wa Michezo wa Chuo cha Ualimu cha Marangu kwa ajili ya uzinduzi wa mkutano wa Kampeni.
Makondakta na madereva wa daladala katika eneo la Marangu mtoni wakisalimiana na mgombea ubunge katika jimbo la Vunjo ,James Mbatia.
Hii ndivyo ilivyokuwakatika eneo la Marangu Mtoni.
Raia wa kigeni wakichukua taswira za mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo,Jmaes Mbatia.
Mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo James mbatia kaiwa ameongozana na mkewe ,Catherine Mbatia na motto wao Chelsea wakiingia katika uwanja wa michezo wa chuo cha Ualimu Mrangu kwa ajili ya mkutano wa ufunguzi rasmi wa kampeni.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini (0755 659929)

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top