PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: VIJANA WAKIMASAI WAFUNGIA VIONGOZI WA CCM OFISINI NAKUTAKA KUWATANDIKA KITETO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Lile sakata la vijana wa jamii ya kifugaji masai kuvamia ofisi ya CCM limeyeyuka baada ya tetesi kuwa wameruhusiwa ...









Lile sakata la vijana wa jamii ya kifugaji masai kuvamia ofisi ya CCM limeyeyuka baada ya tetesi kuwa wameruhusiwa kupokelewa majina yao ili washiriki uchaguzi wa kura za maoni
hii ni kwa mujibu wa katibu wa CCM Wilaya Abeid Maila, leo CCM wako katika heka heka za kuwachagua wawtatu watakaowania Jimbo la Kiteto

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top