
| Mheshimiwa Lipumba |
amesema ameamua kuchukua uamuzi huo baada ya kukiukwa kwa katiba ya chama hicho
ambacho kimeamua kuungana na ukawa na kukubaliana kumuweka Lowassa kama mgombea wa uraisi kupitia chama cha chadema

| Mheshimiwa Lipumba |
Journalist , Enterpreneur, Lecturer and Blogger. Email :ngoboleaa@gmail.com.
Post a Comment