PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MKUU WA MKOA WA ARUSHA FELIX NTIBENDA KUWA MGENI RASMI KATIKA BONANZA LA WANAHABARI AGUST 29 SHEIKH AMRI ABEID STADIUM
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
MENEJA MATUKIO wa TBL akijibu maswali toka kwa wanahabari juu ya udhamini wao kwa mara ya kumi mfululizo katika bonanza hilo. mkutano huo ...
MENEJA MATUKIO wa TBL akijibu maswali toka kwa wanahabari juu ya udhamini wao kwa mara ya kumi mfululizo katika bonanza hilo. mkutano huo wa nahabari umefanyika jioni hii katika ukumbi wa hotel ya PALACE iliyopo hapa jijini Arusha

Meneja matukio wa TBL Chriss Salakana akizungumza na waandishi wa habari za michezo mkoani Arusha juu ya udhamini walioutoa kwa nia ya kusapoti bonanzala waandishi wa habari mkoani Arusha litakalofanyika mnamo august 29 katika uwanja wa sheikh Amri Abeid jijini Arusha. amesema TBL inajivunia kuwa mdhamini mkuu wa bonanza hilo kwa mwaka wa kumi sasa na mafanikio ya bonanza hilo yanaonekana kwani kuna vipaji mbalimbali huvumbuliwa

 mwenyekiti wa Taswa Arusha Jamila Omari mwenye koti jekundu akitangaza kwa wanahabari  mgeni rasmi wa bonanza hilo kuwa ni mkuu wa mkoa wa Arusha FELIX NTIBENDA ambapo kaulimbiu ya bonanza hilo ni UCHAGUZI BILA VURUGU UNAWEZEKANA .                                                                                                                             

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top