PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MAELFU YA WATANZANIA WAJITOKEZA KATIKA UFUNGUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU ZA CHAMA CHA CCM JANGWANI JIJINI DARESALAAM LEO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
 Wiliam ngereja ajitokeza katika kumunga mkono Magufuli katika ufunguzi wa Kampeni leo jijini Dar es Salaam. ...

Inline image 1

Inline image 2

Inline image 3


 Wiliam ngereja ajitokeza katika kumunga mkono Magufuli katika ufunguzi wa Kampeni leo jijini Dar es Salaam.
Vijana wakiwa wamebebana ili waweze kuona mbele katika ufunguzi wa kampeni za chama cha mapinduzi leo katika viwanja vya Jangwani  jijini Dar es Salaam.

 Furaha imetawala kwenye mioyo ya wanaCCM kama inavyoonekana kwenye taswira yetu hapo katika ufunguzi wa kampeni za chama cha Mapinduzi CCM kwenye viwanja vya jangwani leo jijini Dar es Salaam.
 Mzee akiwa amevaa Picha ya Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,John Magufuli leo katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam.
 Vijana wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali.

Wananchi waliojitokeza katika ufunguzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam leo.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top