PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HIZI NI Picha 19 za matukio mbalimbali yaliyotokea Uwanja wa Taifa katika mechi kati ya Yanga Vs Azam FC.
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mpambano uliokuwa unasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka Tanzania kati ya klabu ya Yanga dhidi ya Azam FC ,huu ni mchezo wa ngao ya h...
Mpambano uliokuwa unasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka Tanzania kati ya klabu ya Yanga dhidi ya Azam FC,huu ni mchezo wa ngao ya hisani umechezwa siku ya Jumamosi ya August 22. Mchezo huu ambao kila timu imepania kulinda heshima kwani ni mechi inayowakutanisha mabingwa wa Ligi Kuu Yanga dhidi ya Azam FC ambayo ni mshindi wa pili wa Ligi Kuu Tanzania bara.
CC
Mchezo ambao ulikuwa wa kuvutia na kushambuliana kwa zamu, kipindi cha kwanza kilimalizika kila timu ikienda mapumzikoni bila kuona lango la mwenzake. Kipindi cha pili kilianza kwa kila timu kushambuliana kwa zamu. Mchezo uliamuliwa kwa mikwaju ya penati na Yanga kuibuka na ushindi wa penati 8-7.
Penati za Yanga zilipigwa na Mbuyu Twite, Amissi Tambwe, Geofrey Mwashiuya, Andrey Coutinho, Haruna Niyonzima, Deus Kaseke, Kelvin Yondani huku Nadir Haroub akikosa penati na penati za upande wa Azam FC zilipigwa na Erasto Nyoni, Aggrey Morris, Himid Mao, John Bocco, Kipre Tchetche, Jean Mugiraneza na Pascal Wawa na Ame Ally penati zao zilidakwa na Ally Mustapha
Hizi ni picha za mchezo mtu wangu2X6A1630
DSC_1639
DSC_1656
DSC_1660
DSC_1669
DSC_1681
DSC_1689
DSC_1707
DSC_1723
Mtu wangu wa nguvu nimekusogezea picha za matukio mbalimbali yaliotokea ndani ya Uwanja na nje ya Uwanja wakati mabingwa wapya wa ngao ya hisani Yanga wakishangilia ushindi walioupata dhidi ya Azam FC, timu ambayo ilikuwa ina miliki ngao hiyo.
2X6A1973 - Copy
Wachezaji wa Yanga wakiwa na Ngao ya Hisani walioitwaa mbele ya Azam FC
2X6A1879
2X6A1880
2X6A1884
2X6A1887
2X6A1919
2X6A1923
2X6A1927
2X6A1528
2X6A1743
2X6A1744

2X6A1794
2X6A1765
2X6A1789
2X6A1779
2X6A1744
2X6A1746
2X6A1833
2X6A1775


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top