PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: EDWARD LOWASSA SASA AZIDI KUMFUNIKA DKT JOHN MAGUFULI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU OCTOBER 25 JIONEE HAPA ILIVYOKUWA JIJINI MWANZA.
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
   Mgombea urais kupitia Ukawa Edward Lowassa amekusanya umati wa watu mkoani Mwanza jana wakati wa kuomba wadhamini...



  

Mgombea urais kupitia Ukawa Edward Lowassa amekusanya umati wa watu mkoani Mwanza jana wakati wa kuomba wadhamini nafasi hiyo ikiwa sehemu ya kukamilisha sheria za uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25 na 26 nchini kote. 
msafara wa magari yaliyokuwa yamebeba viongozi wa ukawa toka uwanja wa ndege kuelekea viwanja vya furahisha jijini mwanza

Uchaguzi huo utahusisha nafasi ya udiwani, ubunge na urais kwa vyama mbalimbali ambavyo vinalazimika kuwa wanyenyekevu mbele ya watanzania ili kutoa ridhaa ya kuwatawala baada ya kuwapigia kura katika nafasi hizo.


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top